Meridianbet baada ya bodaboda yahamia kwa mama ntilie

Je unawajua Meridianbet na shughuli zao wanazozifanya? Hawaishii kwenye ubashiri tu bali huenda hadi kwa jamii na kuongazia wanahitaji nini, na hatimaye huleta kwa jamii kile ambacho wanakihitaji. Sasa Meridiabet imewafikia Mama Ntilie na kutoa Aprons kwa wafanyabiashra hao.

Kama tunavyojua kila mtu anapenda kula chakula ambacho kimeandaliwa kwenye mazingira safi na salama hata pale ambapo anakula chakula hicho asiwe na wasiwasi wa kula chakula ambacho si salama na mwisho wa siku kikamleta magonjwa kama vile kuharisha, kipindupindu na mengine mengi.

Ukiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubashara, tembelea maduka ya meridianbet uweze kucheza michezo ya sloti na kasino ya mtandaoni.

Na kuhakiksha hilo halitokei kwa wakazi wa Kariakoo na Manzese, Meridianbet ikiongozwa na Mkuu wa kitengo cha mawasiliano ndugu, Martina Nkurlu walifika maeneo hayo na kusema kuwa; “ Aprons hizo zitawasaidia Mama Ntilie kuandaa chakula chao katika hali ya usafi na usalama”.

Beti na Meridianbet mechi za ligi zote, odds ni kubwa sana, usikose pia Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet yenye michezo rahisi ya sloti kama Poker, Aviator, Roulette.

Baada ya kupokea Aprons hizo, mmoja kati ya Mama Ntilie ambaye ni mama John amesema kuwa anawashukuru Meridianbet kwa kuwafikia nakuwaletea Aprons hizo kwani uhitaji ulikuwa ni mkubwa sana kwao lakini pia waendelee hivyo hivyo kuwafikia wananchi wote wenye uhitaji.

NB: Habari njema kwako, Meridianbet imesikia ombi la wengi imekuja naJackpot kubwa ya mechi 13 kwa dau dogo la kuanzia 1,000/=TZS mshindi atajinyakulia donge nono la Tsh 85,000,000/= PIGA *149*10#

#MERIDIANBET CHAGUA TUKUPE