Hii hapa bei mpya ya mafuta, dizeli yapanda Bei hizo zimetolewa na Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura) ambazo zitaanza kutumika leo Jumatano, Juni 3, 2026.
Chadema: Bila mikataba bora, wananchi hawatanufaika na rasilimali zilizopo Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimesema uongozi thabiti na wenye maono unahitajika ili kuhakikisha wananchi wa mikoa ya kusini wananufaika moja kwa moja na rasilimali ya gesi asilia...
Mapya yaibuka vifo vya wanafunzi 16 bwenini Katika maelezo yao kwa wachunguzi, wanafunzi hao walidai kuchochewa na sababu mbalimbali kuchukua uamuzi huo.
Saba wafariki ajali ya Coaster na lori Singida Kwa mujibu wa mashuhuda, lori hilo lilifeli breki na kugonga Coaster, hali iliyosababisha basi hilo kutumbukia korongoni.
Tanzania, Russia ni kimkakati zaidi Rais Samia Suluhu Hassan amesema ziara yake ya kitaifa nchini Russia ni ya umuhimu mkubwa kwa Tanzania, akieleza inafungua ukurasa mpya wa kuimarisha ushirikiano wa kihistoria uliodumu kwa miongo...
Wataja mwarobaini kumaliza migogoro ya ardhi Zanzibar Migogoro ya ardhi inayojitokeza mara kwa mara Zanzibar inachangiwa na ukosefu wa mpango mkuu wa ardhi, wamesema wajumbe wa Baraza la Wawakilishi.
Chadema: Bila mikataba bora, wananchi hawatanufaika na rasilimali zilizopo Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimesema uongozi thabiti na wenye maono unahitajika ili kuhakikisha wananchi wa mikoa ya kusini wananufaika moja kwa moja na rasilimali ya gesi asilia...
Rekodi ngumu zinazoshikiliwa Kombe la Dunia Ikiwa zimebaki siku nane kuanza kwa Fainali za Kombe la Dunia 2026 zitakazofanyika kwa pamoja katika Mataifa ya Marekani, Canada na Mexico, zipo rekodi ambazo ziliwekwa na magwiji wa soka...
Jiongeze: Vipaji na maisha ya hovyo Bongo Kuna pisi nyingi ndani ya 'gemu' la Bongo Fleva'. Naongelea zile manzi zilizoibuka baada ya Jide, Ray C, Stara Thomas, Enika na wengine. Achana na wachanaji Zay B, Rah P, Sister P, Witnes na Dataz.
CCBRT yasaka Sh3 bilioni kuokoa watoto wenye ulemavu wa kuzaliwa Hospitali ya CCBRT imezindua kampeni ya kitaifa ya kuchangisha Sh3 bilioni kwa ajili ya kusaidia matibabu ya watoto wanaozaliwa na changamoto za kiafya, huku ikiweka wazi kuwa, kujiondoa kwa...