Askofu wa Jimbo Katoliki Geita, Flavian Kassala amishiriki katika ibada ya maadhimisho ya jubilee ya miaka 25 ya upadre wake iliyofanyika katika Parokia ya Bikra Maria Malkia wa Amani, mjini Geita leo Agosti 11, 2024. Ibada hiyo imehudhuriwa na waumini wa kanisa hilo na viongozi mbalimbali wakiwemo wa Serikali. Picha na Rehema Matowo