Waziri wa Kilimo, Profesa Adolf Mkenda akizungumza bungeni alipokuwa akijibu hoja za wabunge waliochangia mjadala wa kupitisha makadirio ya mapato na matumizi ya wizara yake kwa mwaka wa fedha 2021/2022, jijini Dodoma leo. Picha na Edwin Mjwahuzi
Photo: 1/2
Naibu Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe akizungumza bungeni alipokuwa akijibu hoja za wabunge waliochangia mjadala wa kupitisha makadirio ya mapato na matumizi ya wizara yake kwa mwaka wa fedha 2021/2022, jijini Dodoma leo. Picha na Edwin Mjwahuzi