Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk Philip Mpango akizungumza jambo na Rais wa Marekani, Joe Biden kabla ya kuanza kwa mkutano wa wakuu wa nchi za Marekani, Congo na Zambia kuhusu Ushoroba wa Lobito (Lobito Corridor).
Katika mkutano huo unaofanyika Mji wa Lobito nchini Angola, leo Jumatano, Desemba 4 2024, Tanzania ni mgeni mwalikwa.
Picha: Ofisi ya Makamu wa Rais