Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwaapisha Naibu Makatibu Wakuu, Manaibu waziri, Mkuu wa Mkoa, Majaji wa Mahakama Kuu, Msajili wa Mahakama ya Rufani na Mwenyekiti wa Tume ya Utumishi wa Walimu kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 13 Juni, 2024.