Mwananchi Picha KESI YA WABUNGE CHADEMA 1/1 PREV NEXT Wafuasi wa chama cha demokrasia na maendeleo (Chadema) na wabunge wa jimbo la Kilombero na Mlimba wakitoka katika mahakama ya hakimu mkazi Morogoro baada ya kesi yao kuhairishwa hadi machi 18 mwaka huu ambapo itasikilizwa tena. Picha na Juma Mtanda.