Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP) Camillus Wambura akimvisha cheo cha Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP), Dora Kiteleki aliyekuwa Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP)
IGP Wambura amemvisha cheo hicho leo Septemba 6, 2024 baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kumpandisha cheo Kiteleki jana Septemba 5, 2024.