Mkurugenzi Mtendaji Kampuni ya mawasiliano Tigo, Simon Karikari, akiwasilisha mada juu ya kukuza maendeleo ya sekta ya fedha kupitia mifumo ya kidigitali katika mkutano wa 19 wa taasisi za kifedha nchini unaoendelea jijini Dar es salaam. Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF), Godfrey Simbey