Malkia wa akinamama wa kabila la Waluguru, Wamingila Shilingimbili akiongoza kufanya tambiko la kabila hilo ikiwa ni ibada ya asili iliyofanyika katika Uwanja wa gofu, mkoani Morogoro leo, Januari 6, 2024. Tambiko hilo hufanywa kila mwaka mwezi Januari kuombea amani na kuepusha mabalaa ndani na nje ya Manispaa ya Morogoro. Picha na Juma Mtanda