Watumiaji wa Soko la Mabibo wanapitia katika wakati mgumu kwa sasa kutoka na tope lilopo sokoni hapo kutokana mvua zinazoendelea kunyesha jijini Dar es Salaam, kama mpigapicha wetu aliwakuta wabeba mizigo wakikatisha kwenye dimbwi lenye tope, leo Januari 10, 2024. Picha na Michael Matemanga