Picha Mgambo JKT wafunga mafunzo kwa mujibu wa sheria Jumatano, Septemba 11, 2024 Mkuu wa Wilaya ya Handeni, Albert Msando akikagua gwaride la wahitimu wa mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) kwa Mujibu wa Sheria wakati wa kufunga mafunzo hayo Septemba 10, 2024 katika kambi ya Mgambo JKT wilayani humo. Picha na Rajabu Athumani Photo: 1/4 View caption Photo: 2/4 View caption Photo: 3/4 View caption Photo: 4/4 View caption Login to join the discussion Please enable JavaScript to view the comments powered by Disqus.
TAARIFA KWA UMMA Tunasikitika kuwaarifu wasomaji wetu wapendwa kuwa tunalazimika kusitisha uchapishaji wa maudhui mtandaoni kuanzia sasa kufuatia Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kusitisha leseni zetu za...
Uchaguzi Chadema: Boni Yai kushinda akiwa gerezani? Meya wa zamani wa Ubungo, Boniface Jacob, maarufu Boni Yai atalazimika kupigiwa kura ya nafasi ya uenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kanda ya Pwani akiwa gereza la Segerea...
PRIME Simulizi ya saa 24 kabla ya kifo cha Sokoine Imepita miaka 40 tangu aliyekuwa Waziri Mkuu, hayati Edward Sokoine alipofariki kwa ajali ya gari mkoani Morogoro wakati akitoka mkoani Dodoma kuelekea Dar es Salaam.