Mkutano wa Rais Samia Suluhu na wanawake jijini Dodoma
Wabunge wa Viti Maalumu, Ester Bulaya na Halima Mdee wakijadiliana jambo walipohudhuria mkutano wa Rais Samia Suluhu Hassan alipokutana na kufanya mazungumzo na wanawake kwenye Ukumbi wa Jakaya Kikwete, jijini Dodoma leo. Picha na Edwin Mjwahuzi
Photo: 1/7
Rais Samia Suluhu Hassan akizungumza katika mkutano na wanawake unaofanyika kwenye ukumbi wa Jakaya Kikwete, jijini Dodoma leo. Picha na Edwin Mjwahuzi
Photo: 2/7
Mwanamitindo na mwanamuziki, Hamisa Mobetto akishangilia wakati Rais Samia Suluhu Hassan alipokuwa akihutubia katika mkutano na wanawake uliofanyika kwenye ukumbi wa Jakaya Kikwete, jijini Dodoma leo. Picha na Edwin Mjwahuzi
Photo: 3/7
Rais Samia Suluhu Hassan akizungumza katika mkutano na wanawake unaofanyika kwenye ukumbi wa Jakaya Kikwete, jijini Dodoma leo. Picha na Edwin Mjwahuzi
Photo: 4/7
Wabunge wakichukuwa kumbukumbu kwa kujipigapicha walipohudhuria mkutano wa Rais Samia Suluhu Hassan alipokutana na kuzungumza na wanawake kwenye Ukumbi wa Jakaya Kikwete, jijini Dodoma leo. Picha na Edwin Mjwahuzi
Photo: 5/7
Wanawake wakishangilia wakati Rais Samia Suluhu Hassan alipokuwa akiwahutubia katika mkutano uliofanyika kwenye Ukumbi wa Jakaya Kikwete, jijini Dodoma leo. Picha na Edwin Mjwahuzi