Picha Ofisi mpya ya Chadema Ijumaa, Januari 12, 2024 Muonekano wa ofisi mpya za Chadema zilizoko Mikocheni Jijini Dar es Salaam ambazo zitatumika kufanya mkutano na waandishi wa habari kwa mara ya kwanza kesho, Januari 13, 2024. Picha na Fortune Francis Photo: 1/1 View caption Login to join the discussion Please enable JavaScript to view the comments powered by Disqus.
Miti ilivyozalisha majina ya maeneo maarufu Tanzania ina utamaduni mzuri wa kutumia majina ya miti kuwakilisha maeneo.
Mahakama yatengua hukumu Kilimanjaro Express kumlipa Kisena Sh300 milioni Badala yake, mahakama hiyo imeelekeza mwenendo wa shauri la madai namba 47/2022 lililofunguliwa na Kisena lisikilizwe upya.
Mzungu Michael Chain alivyoibua jina Mikocheni Sio Michael Chain pekee, hata Kawe inaelezwa kuwa limetokana na Cow ways.