Rais Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Kapteni Neema Swai aliyeleta Ndege mpya ya Mizigo aina ya Boeing 767-300F ya Shirika la Ndege la Tanzania ATCL kutoka marekani hadi Tanzania mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam.