Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa na Rais wa Senegal, Macky Sally pamoja na Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB), Dk Adesina Akinumwi kabla ya kuanza kwa Mkutano wa Masuala ya Kilimo na Chakula uliofanyika Dakar nchini Senegal leo Jumatano.