Tamasha la Simba Day lililofanyika jana katika Uwanja wa Benjamin Mkapa na kuhudhuriwa na watu wanaokadiliwa kufika 60,000 ambapo wapenzi wa Klabu Simba walifanikiwa kuwaona wachazeji wao watakaoshiriki msimu wa 2024 / 2025. Tamasha hilo ambalo ni la 16 liliambatana burudani mbalimbali zilizotolewa na wasanii wa muziki pamoja na kushuhudia mchezo kati ya Simba na APR huku simba akishinda mchezo huo 2-0. Picha zote na Loveness Bernald