Picha Ukame wasotesha wananchi Monduli wakisaka maji Jumatatu, Oktoba 24, 2022 Baadhi ya wananchi wa Kijiji cha Misimingori wakiwa kwenye foleni kupata mgawo wa maji wa ndoo mbili kila kaya kupunguza makali ya uhaba wa maji wanayokabiliana nayo iliyosababishwa na mabadiliko ya tabia ya nchi. Picha na Bertha Ismail Photo: 1/1 View caption
Mgawo wa maji watikisa mijini, vijijini Licha ya wingi wa rasilimali maji zilizopo nchini, upatikanaji wa maji safi na salama, bado ni changamoto kwa wananchi ambao baadhi hupata maji kwa mgawo, huku wengine hasa vijijini wakitegemea...
Bei ya mafuta yazidi kushuka Bei ya mafuta imeendelea kushuka, baada ya Ewura kutangaza bei mpya kuanzia kesho, ambapo lita moja ya petroli itauzwa Sh2, 886, dizeli Sh3083 na mafuta ya taa Sh3, 275 kwa lita.
Rais Samia aomba mjadala changamoto bunifu sekta ya afya Rais Samia Suluhu Hassan ameziomba Jumuiya ya Kimataifa kujadili changamoto tatu zinazorudisha nyuma juhudi za kufanya bunifu kwenye sekta ya afya