TCD inayoongozwa na Mwenyekiti wake, Freeman Mbowe wamefanya kikao cha mashaurinano kilichoongozwa na Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi na kujadili masuala mbalimbali ikiwemo
sintofahamu ya zuio la mikutano ya hadhara kwa wapinzani.
Pia, kimejadili kuhusu uchaguzi wa serikali za mitaa, vijiji na vitongoji unaotarijiwa kufanyika Novemba 27, 2024 hususani kanuni, ratiba na miongozo ya uchaguzi.