Fuatilia Kongamano la Shamba Darasa, linalofanyika leo katika Ukumbi wa Nane Nane Farm jijini Mbeya ambapo Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe ni mgeni rasmi kwenye kongamano hilo.

Katika kongamano hili utapata kujua juu ya mipango bora ya kilimo, ufadhili wa kilimo, utafiti na ubunifu bila kusahau sensa kwa mipango bora ya kilimo.


MADA: "Ajenda 10/30 Kilimo ni biashara"