Dodoma. Rais Samia Suluhu Hassan anazungumza na mawaziri na naibu Mawaziri leo Alhamisi Januari 13, 2022 jijini Dodoma.