Askari auawa Loliondo, Mongella aonya upotoshaji
Mkuu wa Mkoa Arusha, John Mongella amesema askari mmoja amefariki dunia baada ya kushambuliwa kwa kupigwa mshale na kundi la watu wenye silaha wakati wa zoezi la uwekaji wa alama za mipaka katika eneo la Loliondo wilayani Ngorongoro.