Miti ilivyozalisha majina ya maeneo maarufu Tanzania ina utamaduni mzuri wa kutumia majina ya miti kuwakilisha maeneo.
Mahakama yatengua hukumu Kilimanjaro Express kumlipa Kisena Sh300 milioni Badala yake, mahakama hiyo imeelekeza mwenendo wa shauri la madai namba 47/2022 lililofunguliwa na Kisena lisikilizwe upya.
Mzungu Michael Chain alivyoibua jina Mikocheni Sio Michael Chain pekee, hata Kawe inaelezwa kuwa limetokana na Cow ways.