PRIME Fursa mpya, vilio mgawanyo wa majimbo Uamuzi huo wa INEC, kwa mujibu wa wadau wa siasa, una pande tamu na chungu kwa wabunge wa sasa wenye nia ya kuendelea kugombea nafasi hizo.
Haya hapa majimbo mapya ya uchaguzi, yamo Chamazi na Chato Mwenyekiti wa tume hiyo, Jaji wa Rufaa, Jacobs Mwambegele amesema walipokea jumla ya maombi 34 ya kugawanywa kwa majimbo na 10 ya kubadili majina ya majimbo.
Serikali yavunja mkataba na mkandarasi Barabara ya Tanga - Bagamoyo Waziri Ulega pia ameagiza tathmini ya fidia ya ucheleweshaji wa mradi huo ifanyike ili Serikali ilipwe.