Masaju aonya mawakili wanaouza haki za wateja Masaju ameonya kuhusu mawakili wanaouza haki zawateja wao kwa masilahi binafsi kwamba hawatabaki salama.
Senene kutegwa na mashine Wazalishaji wa senene mkoani Kagera wanatarajiwa kuanza kutumia mashine maalumu za wadudu hao mara baada ya kukamilika kwa utafiti, kwa lengo la kuongeza ufanisi katika uzalishaji.
Wanafunzi wawili wafariki kwa kufukiwa na kifusi Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa CCM wa Kata ya Mbalawala, Athanas Sajilo, waliofariki ni Oscar Richard (19) na Andrea Chibago (19) huku kondakta wa lori la mchanga akijeruhiwa (jina bado...
PRIME Kesho kicheko, maumivu Bajeti hiyo inayoanza kutekelezwa kesho, inang’ata na kupuliza kwa wafanyabiashara na bodaboda ambao wameondolewa baadhi ya kodi na tozo.
Nderemo na vifijo vyatawala Samia akilifunga Bunge Ni hotuba iliyosheheni utekelezaji wa sekta mbalimbali. Ndivyo unavyoweza kusema kuhusu hotuba ya Rais Samia Suluhu Hassan ya kuhitimisha shughuli za Bunge la 12 ambalo litavunjwa rasmi Agosti 3,...
Maeneo saba kushindaniwa tuzo za utalii Serikali imetaja maeneo saba ya ubora yatashindaniwa katika Tuzo za Utalii Duniani Kanda ya Afrika na Bahari ya Hindi kwa mwaka 2025 (World Travel Awards), zitakazofanyika Juni 28, 2025 jijini...
ATF yafundwa kupata fedha za afua za Ukimwi Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), William Lukuvi ameielekeza Bodi ya Mfuko wa Udhamini wa Ukimwi (ATF) kubuni mbinu za ndani za kutafuta fedha za kugharamia afua za...
Bunge laridhia kugawa Hifadhi ya Taifa ya Nyerere, uanzishwaji AFC Bunge limeridhia azimio la mkataba wa uanzishwaji wa Shirika la Fedha la Afrika (AFC) wa mwaka 2007 ambao unatoa kinga dhidi ya upekuzi, ukamataji, utaifishaji na aina nyingine za kukamata...
PRIME Mjadala Sheria ya Fedha wahitimishwa kwa ahueni maeneo haya Bunge limepitisha Muswada wa Sheria ya Fedha wa Mwaka 2025, Serikali ikifanya marekebisho kwa baadhi ya maeneo yaliyozua mjadala bungeni na miongoni mwa wadau.
Gambo aibana Serikali kuhusu hatima ya kiwanda cha General Tyre bungeni Hoja ya kufufua kiwanda cha kutengeneza matairi cha General Tyre, imeibuka tena bungeni baada ya Mbunge wa Arusha Mjini (CCM), Mrisho Gambo, kuhoji mpango wa Serikali kuhusu kiwanda hicho.