PRIME Ongezeko ya kodi wanaoshinda 'mikeka’ lazua gumzo Ongezeko hilo linalenga kuwezesha upatikanaji wa fedha za kusaidia serikali kupambana na ugonjwa wa Ukimwi na pia kuchangia bima ya afya.
PRIME Sura mbili kufutwa msamaha kodi vifaa vya michezo Aliyewahi kuwa mwenyekiti wa Simba, Ismail Aden Rage amepongeza hatua hiyo akibainisha kwamba vifaa vya michezo ni muhimu kwa maendeleo ya mpira wa miguu na michezo yote.
PRIME CAS inaweza kutibua kikao cha dabi Dar? Machi 8, 2025, ilitarajiwa kuchezwa mechi ya Ligi Kuu Bara namba 184 kati ya Yanga dhidi ya Simba, lakini Bodi ya Ligi iliahirisha saa tano kabla ya kuanza kwa mchezo huo uliopangwa kuanza saa 1...
PRIME Simba, Yanga zinavyolijenga, kulibomoa soka la Tanzania Habari ya mjini ni mvutano unaoendelea baada ya mechi ya watani Simba na Yanga kuahirishwa siku ya mchezo, Machi 8, mwaka huu. Kamati ya Uendeshaji na usimamizi wa Ligi Kuu Bara (TPLB) saa 7:53...
PRIME SIO ZENGWE: Sakata la Yanga, Simba ni la kimfumo zaidi Mara nyingi maamuzi ya kisiasa huwa ni ya kuangaliana usoni na si kuangalia suala la msingi linalotakiwa litafutiwe ufumbuzi.
PRIME SIO ZENGWE: TFF, TPLB zipunguze kelele za udhamini wa GSM Wanaolizungumzia hilo ni wale mashabiki wa Simba wanaodai kuwa, Yanga huwa inajihakikishia pointi za timu hizo sita wakati Ligi Kuu inapoanza na hivyo kuwa na nafasi nzuri zaidi ya kutetea ubingwa.
Sintofahamu makosa ya waamuzi Ligi Kuu Wadau mbalimbali wa soka nchini wamegawanyika kuhusu makosa yanayojirudia ya waamuzi wanaocheza Ligi Kuu Bara, baadhi wakitaka iundwe kampuni itakayowasimamia, huku bodi ikisema kuna makosa saba...
PRIME SIO ZENGWE: Tunaitakia CCM tathmini njema ya viwanja vyake CHAMA cha Mapinduzi (CCM) kimesema kinatathmini uendeshaji wa viwanja vyake vya michezo ili kuangalia uwezekano wa kuuboresha na ikiwezekana kwa kushirikiana na wawekezaji watakaokuwa tayari...
PRIME SIO ZENGWE: Ally Kamwe amekosea kuomba uchunguzi? Mkuu wa Idara ya Mawasiliano ya Yanga, Ally Kamwe ameitwa mbele ya Kamati ya Maadili ya Shirikisho la Soka la Tanzania (TFF) kujieleza baada ya kutoa matamshi kuhusu kasoro za uamuzi ambazo sasa...
Mangungu, Hersi 'wasifunge' milango kwa wengine TFF Kumeibuka utamaduni unaolenga kudumisha hali iliyopo pengine ni kwa kutojua kinachoweza kutokea mbele kama ni kizuri kwa maendeleo au kibaya kwa maendeleo.