Search

208 results for Bertha Ismail :

  1. Zabuni ya ujenzi yalifikisha Jiji la Arusha mikononi mwa Takukuru

    Upungufu wa utangazaji wa zabuni ya ujenzi wa jengo la utawala umeliweka pabaya Jiji la Arusha kutokana na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) kubaini kulikuwa na mianya ya rushwa.

    New Content Item (1)
  2. Tanzania kinara idadi ya nyati na simba Afrika

    Afrika nzima kuna nyati 401,000 na kwa Tanzania pekee, wako 225,000 ikifuatiwa na Afrika Kusini (46, 000), Msumbiji (45, 000), Kenya (42, 000) na Zambia (41, 000)

  3. Fredrick Lowassa aweka rehani ubunge wake

    Mbunge wa Monduli (CCM), Fredrick Lowassa ameahidi kuachia ubunge wake endapo utatuzi wa mgogoro wa Ranchi ya Manyara aliyoianzisha baba yake, hayati Edward Lowassa hautafika mwisho mwaka huu...

  4. Kanisa lafungwa kisa mgogoro wa ardhi, waumini KKAM wasali nje

    Eneo la kanisa hilo lilizungushiwa mabati wiki iliyopita na mtu anayetajwa kuwa mmiliki wa eneo hilo, baada ya kushinda kesi.

  5. Watoto wa mitaani wafunguka wanayoyapitia

    Wamesema lengo la kuhitaji kupatiwa mtaji ni waweze kujitegemea kimaisha, kuchangia pato la Serikali kupitia ulipaji wa kodi, lakini pia kupunguza wimbi kubwa la watoto wa mitaani na uhalifu.

  6. Mtoto adaiwa kujinyonga Arusha kisa kuchelewa shule

    "...Kikubwa wazazi tuwe karibu na watoto wetu kujua matatizo yao. Si ajabu mtoto alikuwa na tatizo jingine, lakini kwa sababu mzazi hajamuuliza zaidi akaamua kuchukua hatua zake mwenyewe,"...

  7. Sh5 milioni za Rais Samia zaibua mzozo kwenye familia

    Kutokana na moyo wake wa kujitoa na ujasiri wake, Rais Samia Suluhu alitoa mkono wa pole kwa familia yake, lakini kabla ya kukabidhiwa fedha hizo, kukatokea mvutano mkali wa nani anayestahili...

  8. Mfanyabiashara aliyedai kuhujumiwa na halmashauri,  achunguzwa

    Amesema walibaini kuwa fedha hizo zimelipwa kwa kampuni mbili tofauti zinazotumia usajili mmoja wa jiji, na Namba ya Mlipakodi (TIN) moja sambamba na kusajiliwa katika halmashauri moja.

  9. Watoto, vijana milioni 1.2 walivyosaidiwa kukabili umaskini

    Shirika pia latoa mafunzo na msaada kwa familia maskini, likiboresha maisha na kuzikwamua kutoka umaskini.

  10. Tucta yasubiri nyongeza ya mshahara Mei Mosi

    Waja na kaulimbiu "Nyongeza ya mishahara ni msingi wa mafao bora na kinga dhidi ya hali ngumu ya maisha."

Page 1 of 21

Next