Waandishi waaswa kuheshimu usawa wa habari katika kipindi cha uchaguzi
Wakati nchi ikitarajiwa kuingia katika Uchaguzi Mkuu Oktoba mwaka huu, waandishi wa habari wametakiwa kutenda haki kwa wadau wote wa uchaguzi, na kuhakikisha wanaiacha nchi salama katika mchakato...