Mikoa mitatu vinara kwa waganga wa tiba asili nchini
Wakati Mkoa wa Simiyu ukiongoza kitaifa kuwa na waganga wa tiba za asili zaidi ya 9,000 kati ya 57,000 nchini, Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali (GCLA) imechunguza dawa za asili zaidi...