Takukuru: Viongozi wa dini waelezeni waumini rushwa ni mbaya, haifai kuelekea uchaguzi Viongozi wa dini watakiwa kuwahamasisha waumini wasijihusishe na vitendo vya rushwa hususani katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2025.
PRIME Namna ya kulikwepa jinamizi la ajali za barabarani Kila mtu akitimiza wajibu wake barabarani basi tutamaliza kama siyo kupunguza kabisa ajali hizo ambazo zinasababisha vifo, majeruhi, uharibifu wa mali pamoja na umasikini.
Watu milioni 14 wanaweza kufariki baada ya USAID kupunguza misaada Utafiti uliochapishwa kwenye jarida la The Lancet jana Jumatatu umebaini hatua ya Shirika la Marekani la Maendeleo ya Kimataifa (USAID) kupunguza msaada wa kifedha inaweza kusababisha vifo zaidi...
Muuza barakoa aliyepigwa risasi kwenye maandamano afariki Taarifa kutoka nchini Kenya zinasema kijana muuza barakoa aliyepigwa risasi kwenye hekaheka za maandamano ya Juni 17, 2025 amefariki dunia.
Rais Samia amteua kigogo TIC kuwa bosi mpya TISEZA Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Gilead Teri kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Uwekezaji na Maeneo Maalumu ya Kiuchumi Tanzania (Tiseza).
25 wadakwa maandamano ya Gen-Z Kenya Watu 25 wamekamatwa nchini Kenya kutokana na vurugu zilizoibuka kwenye maandamano ya Juni 25, 2025 ya vijana maarufu Gen-Z yaliyofayika kwa lengo la kukumbuka wenzao waliouawa mwaka jana.
Profesa Ibrahim Juma ateuliwa Mkuu wa UDOM Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amemteua Jaji Mkuu mstaafu, Profesa Ibrahim Juma kuwa Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM).
ACT-Wazalendo kuja na 'Operesheni Majimaji' Chama cha ACT Wazalendo kimetangaza kuja na kampeni ya 'Operesheni Majimaji' yenye lengo la kuwaamsha Watanzania kurejesha thamani ya kura zao.
Akili Unde ‘AI’ na athari zake kwenye utengenezaji filamu Huenda uandaaji wa filamu ukaathiriwa na teknolojia ya AI za utengenezaji video za kampuni za teknolojia ikiwemo za Google na Open-AI zenye uwezo wa hali ya juu katika matoleo yao mapya.
Hizi hapa njia kupambana na selimundu Utolewaji wa elimu, ugunduzi wa mapema, matibabu na utolewaji wa dawa kwa wakati ni miongoni mwa njia za kupambana na ugonjwa wa Selimundu zilizoainishwa na wataalamu wa afya.