Mocco Genius anavyoifanya Bongo Fleva anavyotaka Wengi walianza kumtambua Idd Mohamed maarufu kwa jina la Mocco Genius kama mzalishaji muziki, lakini baadaye akaingia kwenye soko la uimbaji.
Vijana wanavyoitazama sanaa kama sehemu ya kutokea Dar es Salaam. Moja ya biashara ambayo imekuwa na mafanikio makubwa kama utaweka jitihada na nguvu katika kujifunza ni sanaa. Kutokana na hilo, sekta hii imekuwa ikikimbiliwa na vijana wengi hapa...
Kayumba: Wasanii wengi hawana nidhamu, niliambiwa sitafika popote Mwanamuziki huyo alipozungumza na Mwananchi amesema kwa sasa nchini Tanzania muziki umekuwa jambo linalopelekea wasanii kutotegemea shoo kuendesha maisha yao.
Waandishi wa nyimbo wapewa mbinu Imekuwa kawaida kuona wasanii wakipewa maua yao pindi ngoma zao zikifanya vizuri, lakini sifa wanazopewa wasanii hao ni tofauti na wanazopata waandishi wa nyimbo.
Kilichofanya Meja Kunta aingie studio na Chidi Benz Mwanamuziki wa Singeli, Meja Kunta, ameweka wazi mipango yake ya kufanya kazi na rapa mkongwe Rashidi Abdallah, maarufu kama Chidi Benz
Salha afunguka, sababu muziki wa taarab kusuasua Mwanamuziki wa taarabu, Salha Abdallah, ametoa ufafanuzi juu ya changamoto zinazokumba muziki wa taarabu na jinsi ambavyo umepoteza umaarufu wake katika miaka ya hivi karibuni.
Kanye West atangaza kustaafu muziki Mwanamuziki wa hip-hop kutoka Marekani, Kanye West ametangaza kustaafu muziki huku akidai kuwa hana uhakika wa kufanya kitu kingine kinachohusiana na muziki.
Ustaa bongo ni mzigo wa maumivu Kama kuna kitu kigumu kwenye huu ulimwengu, basi ni kuishi katika dunia ya umaarufu, hasa unaokulazimu kuficha maumivu na uonyeshe nyakati za furaha pekee.
Maarifa ajipanga kuitumia kumbukizi ya kifo cha mama yake na mashabiki Baada ya ukimya wa takribani mwaka mmoja kwenye muziki, rapa Rashid Rais maarufu Maarifa Big Thinker amefunguka kuja na zawadi kwa mashabiki wake.
Tbt za mastaa ni hamasa kwa mashabiki Kila ifikapo siku ya Alhamisi watu hupamba mitandao ya kijamii kwa picha na video za matukio yaliyopita. Matukio hayo hugusa sehemu mbalimbali ikiwemo kwenye michezo, familia na hata upande wa...