Hatimaye familia kumzika Alex, yasistiza dai lipo palepale
Alfred Mwakalebela, Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Iringa, amesema Alex Kihomwe, Mkazi wa Mtaa wa Msichoke, Kata ya Makorongoni alifikishwa hospitalini akiwa amezidiwa huku...