Search

290 results for Daniel Makaka. :

  1. Watatu wafariki kwa kushambuliwa na fisi

    Kati ya Januari hadi Februari 24, 2024 watu watatu wamefariki dunia kwa kushambuliwa na fisi wilayani Sengerema.

  2. PRIME Maji sasa ni mateso kila kona Tanzania

    Kwa wakazi wa eneo kama vile Mbezi Msumi jijini Dar es Salaam, kuna nyakati hulazimika kununua ndoo moja kwa Sh1, 300.

  3. Mmoja afariki dunia, wawili walazwa kwa kipindupindu Buchosa

    Taarifa iliyotolewa leo Februari 8, 2024 na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Buchosa, Idama Kibanzi kwenye kikao ya baraza la madiwani cha halmashauri hiyo kilichokuwa kikijadili na kupisha rasimu...

  4. Diwani kortini akidaiwa kumjeruhi mwenyekiti CCM

    Mauna, anadaiwa kumjeruhi Lubalika ambaye ni mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) kwenye kata hiyo.

  5. Masharti mapya kukabili kipindupindu, ‘red eyes’

    Aliwaomba wananchi kuacha utaratibu wa kusalimiana kwa kushikana mikono ili kuepuka kula bakteria, akidai hawawezi kujua wanaoshikana nao kama wana bakteria mikononi au la.

  6. Imani potofu zatajwa kusambaa kipindupindu Sengerema

    Baadhi ya wananchi wilayani Sengerema Mkoa wa Mwanza, wameiomba Serikali kutoa elimu kwa jamii waache kutumia dawa za kienyeji kujikinga na ugonjwa wa kipindupindu, badala yake watumie kanuni za...

  7. 61 wanapata kipindupindu Sengerema

    Kufuatia hatua hiyo Nganga amewaka watendaji wa vijiji, kata, madiwani na wananchi kwa ujumla kushirikiana kwa pamoja kutoa elimu ya kupambana na ugonjwa huo.

  8. Askofu Kasala aonya wanaotafuta uongozi kwa ‘sangoma'

    Askofu wa Jimbo Katoliki la Geita, Fravian Kasala amekemea vitendo vya watu wanaokwenda kwa waganga wa kienyeji kutafuta madaraka.

  9. Waitara awafunda madiwani usimamiaji mapato ya madini

    Mafunzo hayo yamekuja kufuatia maandalizi ya Wilaya ya Sengerema kuanza kufaidika na mgodi wa dhahabu unaotarajia kufunguliwa mwaka 2025 katika Kijiji cha Sota.

  10. Wanandoa waangukiwa na ukuta wakiwa wamelala

    Wanandoa wawili mkoani Mwanza wamenusurika kifo baada ya kuangukiwa na ukuta wa nyumba walipokuwa wamelala.

Previous

Page 2 of 29

Next