Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

71 results for Denis Sinkonde :

  1. PRIME Sakata kuandika taarifa binafsi 'gesti' laibua hoja kinzani

    Siku moja baada ya Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi (PDPC) kueleza upungufu na hatua ambazo sheria inaelekeza katika utoaji wa taarifa kwenye vitabu vilivyoko kwenye nyumba za kulala wageni...

  2. RC Chongolo aiwakia halmashauri kwa kutowalipa wazabuni

    Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Daniel Chongolo ameiagiza halmashauri ya mji wa Tunduma kuwalipa wazabuni madai yao, yanayodaiwa kufika Sh1.8 bilioni tangu mwaka 2019, hali inayosababisha malalamiko mengi.

  3. Raia wa Malawi adaiwa kukutwa na vipande 18 vya meno ya tembo

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Songwe linamshikilia Chisamba Kameme (60), raia wa Malawi kwa tuhuma za kukutwa na vipande 18 vya meno ya tembo vyenye uzito wa kilogramu 84.2.

  4. Chongolo atoa maagizo kwa DC mpya Mbozi

    Mkuu huyo wa wilaya, aliteuliwa na Rais Samia Suluhu Hassan Januari 24, 2025, kuchukua nafasi ya Ester Mahawe, aliyefariki dunia hivi karibuni.

  5. Mpango kupima ardhi wasitishwa Songwe

    Baraza la Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Songwe limesitisha kazi ya upimaji wa ardhi iliyokuwa likiendelea katika baadhi ya kata wilayani humo.

  6. Mgambo akamatwa Tunduma akijifanya trafiki

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Songwe linamshikilia Bangros Sikaluzwe (37), mkazi wa Ilolo, Wilaya ya Mbozi mkoani Songwe kwa tuhuma za kujifanya askari wa Jeshi la Polisi Tanzania.

  7. Mama mbaroni akidaiwa kuwaua wanawe wawili

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Songwe linamshikilia Junge Jilatu (28) na wenzake wawili, wakazi wa Kijiji cha Namsinde, Kata ya Mkulwe, Tarafa ya Kamsamba kwa tuhuma za mauaji ya watoto wake wawili.

  8. Mawakala wa vyama vya siasa waonywa kuingilia uandikishaji wapigakura

    Maafisa uandikishaji ngazi ya kata wilaya ya Ileje wakila kiapo cha kusimamia zoezi la uandikishaji daftari la mpiga kura linalotarajia kuanza hivi karibuni,Picha na Denis Sinkonde

  9. ‘Ukijiandikisha mara mbili daftari la wapigakura, kifungo na faini’

    Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imewataka wananchi kujiepusha kujiandikisha mara mbili au kutoa taarifa za uongo wakati wa uboreshaji wa daftari la kudumu la wapigakura, kwa kuwa ni kosa...

  10. Wenyeviti wa vijiji, vitongoji Songwe waonywa kutokuwa chanzo cha migogoro

    Viongozi wa vitongoji, vijiji na serikali za mitaa mkoani Songwe waliochaguliwa hivi karibuni wameonywa kutokuwa chanzo cha migogoro kwenye maeneo yao na kwamba watakaobainika wataondolewa.

Previous

Page 2 of 8

Next