Rais Samia awateua Diamond, Shilole Baraza la Malaria Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameteua Baraza la kutokomeza Malaria nchini lenye wajumbe mbalimbali wakiwamo mawaziri, wanamichezo, viongozi wa dini, asasi za kiraia na wasanii wawili...
Serikali kupangua madaktari bingwa hospitali za mikoa Waziri wa Afya Ummy Mwalimu amesema kutokana na upungufu wa wa madaktari bingwa katika baadhi ya hospitali za rufaa za mikoa, wizara yake imelenga kugawa upya wataalamu hao ili kukabiliana na...
Rais Samia atarajiwa kuwa mgeni rasmi Mei Mosi Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika maadhimisho ya sikukuu ya wafanyakazi yatakayofanyika kitaifa mkoani Morogoro.
Wahariri wa vyombo vya habari wanolewa kubaini bidhaa ‘feki’ Katika mkakati wa kukabiliana na bidhaa bandia nchini Tume ya Ushindani Tanzania (FCC) imekutana na wahariri wa vyombo vya habari kuwapa elimu ili kuandika habari zitakazotoa elimu sahihi kwa...
Katavi kudhibiti utoroshaji madini Ofisi ya Mkoa wa Katavi ikishirikiana na Tume ya Madini ya Mkoa huo imeweka mikakati ya kudhibiti utoroshaji Madini katika Mkoa huo.
Tanzania yasaini mkataba kupambana na malaria Wakati Serikali ikiendelea kupambana na ugonjwa wa malaria, Wizara ya Afya imesaini hati ya makubaliano ya kushirikiana na Kampuni ya SCJohnson iliyopo Marekani kwa lengo la kupambana na ugonjwa...