Search

52 results for Ernest Magashi :

  1. Mrundikano wa taka sokoni Ushirombo waibua hofu

    Wafanyabiashara na wajasiriamali katika Soko Kuu la mjini Ushirombo wameelezea hofu yao ya kukumbwa na magonjwa ya milipuko kutokana na marundikano wa uchafu eneo hilo.

  2. Wahandisi watakiwa kuhakikisha ubora majengo ya CCM

    Mradi huo unatekeleza chini ya program ya mpango wa maendeleo ya ustawi wa Taifa na mapambano dhidi ya Uviko-19 kwa Sh591.5 milioni na malipo kulingana na matokeo (P4R) kwa Sh336.6 milioni.

  3. Askofu Majebele: Tujitoe nguvu, mali zetu 2023

    Waumini wa Kanisa la Ufunuo Ushirombo, Wilaya ya Bukombe mkoani Geita wametakiwa kuunga mkono jitihada za Serikali kwa kujitoa nguvuzao na malizao katika miradi ya maendeleo inayopelekwa kwa...

  4. Ajinyonga kukwepa kudaiwa Sh45,000 na bosi wake

    Taarifa zinaeleza kuwa kijana mmoja wa kitongoji cha Bugongo aliagizwa vinywaji na mtu ambaye huwa anamfanyia shughuli ndogondogo ikiwemo kutumwa kufanya manunuzi ya bidhaa mbalimbali kwa malipo.

  5. Watatu wajeruhiwa mkesha wa Krismasi

    Ni baada ya upepo kuezua nyumba waliyokuwamo

  6. Askofu ataja siri nyuma ya kusifia viongozi, ataka wahusika washtuke

    Awataka viongozi wanaoteuliwa kuwa makini nao kwa kuwa wanaficha udhaifu.

  7. Viongozi wahubiri amani, upendo Krismasi

    Wakati Wakristo wakiungana na wengine dunia kusherehekea sikukuu ya Krismasi, wametakiwa kudumisha upendo, amani na mshikamano.

  8. Wataka Kiswahili kitumike mahakamani

    Serikali imetakiwa kuweka utaratibu wa matumizi ya lugha ya Kiswahili ili itumike hasa kwenye utoaji wa haki ikiwemo mhimili wa Mahakama, badala ya matumzi ya Kiingereza ambacho hakieleweki kwa...

  9. Maofisa wawili Uhamiaji wauawa kwa mishale Mbogwe

    Maofisa wa Idara ya Uhamiaji wawili wa Wilaya ya Bukombe mkoani Geita wameuawa kwa kupigwa mishale ya sumu inayodaiwa kurushwa na wananchi wa kijiji cha Mtakuja Kata ya Lulembela Wilaya ya Mbogwe.

  10. DED mstaafu aangushwa uchaguzi wa CCM Bukombe

    Kelvin Makonda aliyewahi kuwa DED wilayani Bukombe ameshindwa uchaguzi kwa kuambulia kura 30 dhidi ya mpinzani wake Matondo Lutonja aliyepata kura 454.

Previous

Page 2 of 6

Next