Search

154 results for Fina Lyimo :

  1. TRA yafanya ukaguzi kujua matumizi sahihi mashine za kielekroniki

    Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) makao makuu kwa kushirikiana na maofisa wa elimu kwa mlipakodi Mkoa wa Kilimanjaro wamefanya ukaguzi wa mashine za kiletroniki (EFD) kwenye maduka ya...

  2. PRIME Wanakijiji watembea kilometa 12 kupiga simu

    Wananchi wa Kijiji cha Mwai, wilayani Mwanga Mkoa wa Kilimanjaro wanaishi kwa kutokuwa na mahitaji muhimu ya kibinadamu ikiwemo ukosefu wa maji safi na salama, nishati ya umeme na kutokuwa na...

  3. Kiongozi wa mila acharuka jina la Kimasai kutumika vibaya

    Viongozi wa Kimila wa Jamii ya wafugaji wa Kimasai kupitia taasisi yao ya Umoja wa Viongozi wa Jamii hiyo nchini, FTL-Maasai wamemwomba Rais Samia Suluhu Hassan kuingilia kati baadhi ya makundi...

  4. Kesi wanaopinga kuhamishwa KIA yapigwa kalenda

    Kesi iliyofunguliwa na wananchi tisa dhidi ya Serikali, wakipinga kuhamishwa katika eneo lenye ukubwa wa hekari 11,000 za vijiji vine, vinavyopakana na uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro...

    New Content Item (1)
  5. Watalii wanaopitia Kia waongezeka kufikia 900,000

    Idadi watalii wanaoingia nchini kutoka mataifa mbalimbali kupitia Uwanja wa Ndege wa Kimataifa Kilimanjaro (KIA) kutembelea hifadhi za taifa wameongezeka kutoka watalii 780,000 hadi kufikia...

  6. Watalii wanaopitia Kia waongezeka kufikia 900,000

    Idadi watalii wanaoingia nchini kutoka mataifa mbalimbali kupitia Uwanja wa Ndege wa Kimataifa Kilimanjaro (KIA) kutembelea hifadhi za taifa wameongezeka kutoka watalii 780,000 hadi kufikia...

  7. PRIME Makali ya dola yang’ata tena kwenye mafuta

    Unaweza kusema changamoto ya Dola ya Marekani imeng’ata tena baada ya bei ya mafuta kuongezeka kwa kiwango kilichoacha kilio kwa wananchi.

  8. Uhamiaji watakiwa kuboresha huduma kwa wageni

    Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani, Kaspar Mmuya amewataka makamanda wa Jeshi la Uhamiaji Tanzania Bara na Visiwani kuboresha huduma kwa wageni wanaoingia na kutoka nchini katika viwanja vya...

  9. Mahakama ya Rufani kusikiliza mashauri 65 Kilimanjaro

    Mahakama ya Rufani inatarajia kusikiliza mashauri 65 mkoani Kilimanjaro kwa wiki tatu mfululizo yakihusisha kesi 49 za madai na kesi 16 za jinai.

  10. Sakata wananchi, Serikali eneo la KIA lachukua sura mpya

    Mgogoro baina ya vijiji nane na uwanja huo wa KIA umedumu kwa zaidi ya miaka 20, na kati ya Novemba na Desemba mwaka jana Serikali iliweka vigingi kwenye mpaka wa uwanja huo na kutathimini...

Previous

Page 2 of 16

Next