Search

62 results for Janeth Jovin :

 1. Waliofanyakazi na Baba wa Taifa wapewa tuzo

  Ikiwa zimebaki siku chache Muasisi wa Taifa la Tanzania Hayati Mwalimu Julius Nyerere kama angekuwa hai angetimiza miaka100 ya kuzaliwa kwake, waliokuwa wakifanya naye kazi kwa ukaribu...

 2. Ngono umri mdogo yatajwa kuchangia saratani shingo ya kizazi

  Imeelezwa kuwa kushiriki ngono katika umri mdogo kunawaweka wasichana hatarini kupata saratani ya shingo ya kizazi.

 3. Wafanyabiashara 100 wajadili mahitaji ya soko bidhaa za kielektroniki

  Zaidi ya wafanyabiashara 100 wamekuatana na kujadili mahitaji ya soko na jinsi gani kwa pamoja wanaweza kukuza soko la bidhaa za kielektroniki zikiwemo za Samsung hapa nchini.

 4. Rais Samia amchangia Sh15 milioni mtoto Ally

  Rais wa Tanzania, Samia Suluhu ameahidi kutoa kiasi cha Sh15 milioni kwa taasisi ya mtoto Ali Kimara (10) ambaye amekuwa akisumbuliwa na changamoto ya upumuaji kwa takribani miaka 8 sasa.

 5. Rais Samia achangia Sh15 milioni taasisi ya mtoto anayepumulia mashine

  Rais wa Tanzania, Samia Suluhu amechangia Sh 15 milioni kwa taasisi ya mtoto Ali Kimara (10) ambaye amekuwa akisumbuliwa na changamoto ya upumuaji kwa takribani miaka 8 sasa.

 6. Wanawake watakiwa kufanyakazi kwa bidiii, kuwania nafasi za uongozi

  Wanawake nchini wametakiwa kutumia akili na nguvu walizonazo kufanya kazi kwa bidii pamoja na kuwania nafasi za uongozi huku wakisisitizwa kuacha kusema tamaduni zinawakwamisha.

 7. Dar wapewa sifa kugombea uongozi CCM

  Wanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dar es Salaam wametakiwa kujisajili kwenye mfumo wa kadi za kielektroniki kwani asiyefanya hivyo hataruhusiwa kugombea nafasi yeyote ya uongozi...

 8. Miaka minane ya matumaini mtoto Ali akipumulia gesi

  Hujafa hujaumbika! Ndivyo unavyoweza kusema juu ya hali anayopitia mtoto Ali Kimara (10), anayesumbuliwa na changamoto ya upumuaji kwa takribani miaka minane sasa. Mtoto huyu anatumia mashine ya...

 9. Askofu Ruwa'ichi awataka wakatoliki kuiombea Ukraine

  Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki Dar es Salaam, Mhashimu Yuda Thadeus Ruwa'ichi, amewataka wakristo wakatoliki nchini wanapoingia katika kipindi cha kwaresma kuungana kwa pamoja kuiomba nchi ya...

 10. Wakristo wakatoliki wasisitizwa kufunga yale yote yanayowatenganisha na Mungu

  Wakristo Wakatoliki ulimwenguni kote wamesisitizwa kufunga yale yote yanayotenganisha urafiki wao na Mungu.

Previous

Page 2 of 7

Next