Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

902 results for Janeth Mushi :

  1. Aliyekiri kubaka akwaa kisiki, jela maisha

    Mahakama Kuu Masijala Ndogo ya Bukoba, imebariki adhabu ya kifungo cha maisha jela alichohukumiwa Iman Emmanuel kwa kosa la kumbaka mtoto wa kike aliyekuwa na umri wa miaka saba.

  2. Aliyehukumiwa kunyongwa hadi kufa kwa kuua wawili aachiwa huru

    Mahakama ya Rufaa imebatilisha adhabu ya kunyongwa hadi kufa aliyokuwa amehukumiwa Shabani Juma, aliyekutwa na hatia ya mauaji ya watu wawili, kufuatia dosari za kisheria zilizojitokeza wakati wa...

  3. Polisi: Baba wa watoto waliouawa alishikiliwa kwa mahojiano

    Mary anadaiwa kuwaua wanaye Precious mwenye miezi sita na Glory wa miaka minne. Tukio hilo lilitokea Juni 20, 2025 nyumbani kwao Kijiji cha Mungushi wilayani Hai, mkoani Kilimanjaro akidaiwa...

  4. Taasisi za kifedha zatakiwa kuwekeza wajasiriamali wa chini, kati

    Taasisi za kifedha nchini hasa benki,zimetakiwa kuwekeza kwa wananchi,wajasiriamali na wafanyabiashara wadogo na wa kati wanaohitaji kukua kiuchumi na kukuza biashara na mitaji yao.

  5. PRIME Mahakama yabatilisha mwenendo, hukumu ya aliyehukumiwa kunyongwa kwa kumuua mumewe

    Mahakama ya Rufani imebatilisha mwenendo wa kesi na kufuta hukumu ya kunyongwa hadi kufa waliyokuwa wamehukumiwa watu wawili akiwemo Tatu Saidi, baada ya kupatikana na hatia ya kumuua mumewe...

  6. Mifumo dhaifu ya Tehama chanzo cha vihatarishi vya taarifa binafsi, faragha

    Taasisi za umma na binafsi zinazokusanya na zinazochakata taarifa binafsi za watu, zinatakiwa kutumia mifumo imara ya Tehama na kuwa na sera madhubuti zinazozisimamia taarifa hizo na faragha za...

  7. Mahakama yamng’ang’ania aliyeiba Sh23,000, jela miaka 30

    Hii ni rufaa yake ya pili kushindwa ambapo awali alihukumiwa na Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni baada ya kukutwa na hatia ya unyang’anyi wa kutumia silaha kinyume na kifungu cha 287A cha Kanuni...

  8. Rufaa ilivyomnusuru mpiga kinanda kifungo cha miaka 30 kwa ubakaji

    Mahakamani ilielezwa kuwa siku ya tukio Septemba 7, 2024 mwathirika wa tukio hilo akiwa na wanakwaya wenzake baada ya kumaliza mazoezi alibaki kupanga viti kanisani na mpiga kinanda huyo ambaye...

  9. Mama adaiwa kuwaua wanaye wawili, mgogoro wa familia watajwa

    Mary Mushi (26), mkazi wa Kijiji cha Mungushi, Hai mkoani Kilimanjaro, anadaiwa kuwaua wanawe wawili, mmoja wa miaka minne na mwingine wa miezi sita, kisha kujijeruhi, chanzo kikitajwa ni...

  10. Aliyemuua mkewe bila kukusudia aachiwa huru

    Mahakama ya Rufaa imemuachia huru Stephen Mduma, aliyekuwa amekuhukumiwa kifungo cha miaka saba jela baada ya kukutwa na hatia ya kumuua bila kukusudia aliyekuwa mke wake, Jackline Mwanjombe.

Previous

Page 2 of 91

Next