Search

127 results for Kalunde Jamal :

  1. Ongea na Aunt Bettie: Nitapata matatizo kwa kutoshiriki mapenzi?

    Habari. Niliwahi kuwa na uhusiano miaka 12 iliyopita, baada ya kuachana na mwanamume niliyempenda na kumuamini kupita kiasi, nimeyachukia mapenzi. Je, ninaweza kupata matatizo kwa kukaa muda...

  2. Kuna kosa kulinda nikipendacho?

    Anti naomba unisaidie, mpenzi wangu ana shepu nzuri sana (sijui wengine wakiiona watasemaje), lakini mimi napagawa kila ninapomuona, sasa sitaki mtu mwingine aione, changamoto mpenzi wangu hataki...

  3. Ongea na Aunt Bettie: Mapenzi, pesa na elimu vinakaribia kuivunja ndoa yangu

    Ninafanya kazi nzuri na nina elimu ya juu kidogo tofauti na mume wangu. Elimu hii nimekuwa nikiiongeza kidogo kidogo kupitia programu ya ninakofanya kazi hadi kufikia ngazi ya meneja. Ila imekuwa...

  4. ‘Serikali itunge sheria rafiki sekta ya habari’

    Baadhi ya waandishi wa habari wameiomba Serikali itunge sheria ‘rafiki’ zitakazowezesha sekta ya habari kukua na kuongeza ajira zaidi.

  5. ONGEA NA AUNT BETTIE: Ninampenda mume wa mtu, nifanyeje awe wangu

    Anti kwa kweli ninampenda mume wa mtu na nipo naye katika uhusiano kwa mwaka wa tano sasa. Shida ni kwamba yupo na mimi kwa kujificha ficha, imefikia mahali nimechoka ninataka awe wangu au...

  6. ONGEA NA AUNT BETTIE: Kaingia mitini baada ya kunichumbia

    Habari za kazi Anti Bettie? Nilikuwa na uhusiano na mwanamume, akanitolea barua akidai anataka tuoane. Kwa bahati mbaya tangu afanye hivyo mawasiliano yetu yamekatika kabisa. Nachanganyikiwa na...

  7. Mmoja auawa, wafuasi wa Chadema, ACT wakamatwa

    Wanachama zaidi ya 100 wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na ACT-Wazalendo wanashikiliwa na polisi wakihusishwa na matukio mbalimbali hasa vurugu katika Uchaguzi Mkuu huku mmoja...

  8. ANTI BETTIE: Tatizo mke wangu anapenda fedha nafikiria kuachana naye

    Nimeoa baada ya kukaa kwenye uchumba kwa miezi sita. Tatizo huyu mke wangu anapenda fedha hadi nahisi kizunguzungu.

  9. Sakata Mdude Chadema latua makao makuu ya Polisi nchini

    Kutoweka kwa mwanachama wa Chadema, Mdude Nyagali maarufu kwa jina la Mdude Chadema kumechukua sura mpya baada ya Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani, Hamad Yusuf Masauni kusema polisi imefungua...

  10. Aliowabeba wanavyomlilia

    Baadhi ya watu ambao kwa namna moja au nyingine maisha yao yaliguswa na Mengi wameeleza jinsi walivyonufaika na mchango wake.

Previous

Page 2 of 13

Next