Search

17 results for Lucy Johnbosco :

  1. Umuhimu wa kujua daliliza kushuka kwa sukari

    Mgonjwa wa kisukari ni muhimu kujua na kuelewa maana ya ‘Hypoglycemia conduction’ au hali ya kushuka sana kwa sukari. Dalili zake ni kizunguzungu, kichwa kuuma, kutowajibika au udhaifu, njaa...

  2. Zingatia ulaji kiasi wa nyama nyekundu

    Tafiti zinaonyesha ulaji wa nyama nyekundu kwa wingi unaweza kuwa hatari na ni kati ya vyakula vinavyosababisha aina mbalimbali za saratani kama ya kinywa, koo, utumbo mpana, mapafu na kongosho.

  3. Jinsi ya kuepuka shinikizo la damu

    Wagonjwa wa kisukari wanaweza kupata magonjwa yasiyoambukiza kama shinikizo la moyo ikiwa watakuwa na mitindo mibaya ya maisha pamoja na lishe isiyo na mpangilio.

  4. Fanya haya kuepuka changamoto za uzazi

    Wanawake wenye kisukari mara nyingi hupata changamoto mbalimbali katika ushikaji wa ujauzito kuliko wanawake ambao hawana ugonjwa huo. Zaidi ya ugonjwa wa kisukari, kuna sababu nyingi...

  5. Zingatia haya kuepuka tatizo la kuharibu ujauzito

    Tatizo la kuharibika kwa ujauzito mara wa mara linaweza kuwa ni dalili mojawapo ya aina ya pili ya kisukari na pia kwa wanawake wenye kisukari ambao hawajadhibiti kiwango cha sukari mwilini.

  6. Chanzo cha tatizo la tumbo kujaa gesi

    Kuwa na gesi tumboni au tumbo kujaa gesi si tatizo geni kwa wagonjwa wa kisukari, hasa wanaotumia dawa za vidonge kudhibiti kiwango cha sukari.

  7. Watoto yatima ni jukumu la kila mmoja

    Pamoja na jamii kuwapelekea misaada mbalimbali watoto yatima, mkurugenzi wa taasisi inayojihusisha na utoaji wa elimu ya kisukari ya Dicoco,  Lucy Johnbosco amesema watoto hao...

Previous

Page 2 of 2