Sababu magonjwa ya upumuaji, UTI kuendelea kusumbua 2024
Septemba 2024, Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (Rita) ilitoa takwimu za matukio muhimu 2023 ambazo ndani yake pia zilibainisha magonjwa 20 yaliyoongoza kwa vifo ambapo magonjwa ya mfumo wa...