Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

392 results for Mariam Mbwana :

  1. PRIME Ondoa harufu ya kinywa kwa vyakula hivi

    Una tatizo la kutoa harufu mbaya kinywani? Kwanini usumbuke na tiba ingalipo? Anza kutumia vyakula hivi.

  2. Viongozi elimu ya juu watwishwa zigo la ajira kwa wahitimu

    Viongozi wa taasisi za elimu ya juu nchini Tanzania wamehimizwa kuzingatia maadili, weledi na uzalendo wakati wa utekelezaji wa majukumu yao.

  3. PRIME Pesa yako inavyoua afya yako

    Pesa ni nyenzo muhimu katika maisha ya kila siku, lakini matumizi mabaya ya pesa yanaweza kuwa na madhara makubwa kwa afya yako.

  4. Watoa huduma za bima wapewe somo la ubunifu

    Khadija amesema watu wanapokata bima huwa na malengo mbalimbali hivyo madai yao yanapolipwa kwa wakati huwasaidia kutimiza malengo yao kwa haraka.

  5. Utafiti: Wanawake walio kwenye ndoa waongoza kwa utoaji mimba

    Kumekuwa na dhana miongoni mwa wanajamii kuwa mabinti wadogo au ambao hawajaingia kwenye ndoa hujihusisha na matukio ya utoaji wa mimba zaidi kuliko wale walioko kwenye ndoa.

  6. Hakielimu: Elimu ipewe asilimia 15 ya bajeti kuu

    Wakati bajeti ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia ikitarajiwa kuwasilishwa bungeni Mei 12 na 13, 2025, Taasisi ya Hakielimu imetoa mapendekezo matano ya kuwekewa nguvu ili kuleta ufanisi...

  7. Mambo matano kuimarisha uhuru wa wanataaluma Afrika

    Senkoro amesema lugha ya kufundishia ina nafasi katika kutengeneza msingi wa wanataaluma kuanzia ngazi za awali katika elimu.

  8. PRIME Unavyoweza kutengeneza pesa kwa kutumia AI

    Kwa mujibu wa wataalamu wa teknolojia, kutumia AI kwa usahihi na ubunifu kunaweza kumwezesha mtu kujipatia kipato kikubwa kupitia mitandao au hata katika biashara za kawaida.

  9. Profesa Shivji, wasomi wataja kinachokwaza maendeleo Afrika

    Utafiti wa Mwenendo wa Uchumi wa Kisiasa Kusaini mwa Afrika mwaka 2023 (SAPES Trust) ulionyesha katika nchi ambazo mijadala ya kisomi inadhibitiwa, uamuzi wa kisera huchukuliwa bila ushahidi wa...

    New Content Item (1)
  10. Sababu wanazuoni kuwa kimya

    Changamoto za kifedha, kuingiliwa kisiasa, shinikizo katika baadhi ya taasisi, uoga na kutokuwa na utulivu wa kisiasa zimetajwa kuwa vikwazo vya uhuru wa kitaaluma katika nchi mbalimbali za Afrika.

    New Content Item (1)
Previous

Page 2 of 40

Next