Search

107 results for Mwanja Ibadi :

  1. Wanaouza gesi bila mzani wapewa siku 14

    Wauzaji na mawakala gesi wametakiwa kuhakikisha wanakuwa na mizani ya kupimia kiwango stahiki cha gesi kama sheria inavyoagiza.

  2. Nyama yamponza mwanafunzi apata mimba

    Muuza nyama huyo inadaiwa amemshawishi mwanafunzi huyo kumpa nyama na kumsababishia kupata ujauzito uliomfanya ashindwe kuendelea na masomo bada ya uongozi wa shule kumsimamisha kwa mujibu wa...

  3. Wanafunzi kidato cha kwanza wasiofika shule kusakwa nyumba kwa nyumba

    Halmashauri ya Manispaa ya Lindi imesema itafanya msako nyumba hadi nyumba na kuwachukulia hatua kali za kisheria wazazi na walezi wa wanafunzi 118 ambao hawajafika shuleni hadi sasa.

  4. Viongozi wahubiri amani, upendo Krismasi

    Wakati Wakristo wakiungana na wengine dunia kusherehekea sikukuu ya Krismasi, wametakiwa kudumisha upendo, amani na mshikamano.

  5. Watendaji wa vijiji watajwa migogoro ya wafugaji, wakulima

    Kutokana na kukithiri kwa migogoro ya wafugaji na wakulima mkoani Lindi, baadhi ya wenyeviti Serikali za vijiji, maofisa watendaji wa vijiji na kata wametajwa kuwa chanzo.

  6. Kizungumkuti cha mbolea nchini

    Upatikanaji wa mbolea ya ruzuku nchini unaelezwa kuwa wa kusuasua huku baadhi ya maeneo yakiwa na msururu mrefu wa wakulima wanaoifuata mjini.

  7. Mwenyekiti wa Halmashauri Kilwa daiwa kutekwa

    Diwani wa Kivinje, Jafar Arobaini ameliambia Mwananchi kwa simu kuwa, kiongozi huyo alitekwa na watu wasiojulikana akiwa eneo la stendi ya Kilwa Masoko akijipatia chakula cha usiku.

  8. Maambukizi ya Ukimwi yapungua Lindi

    Mratibu wa Ukimwi wa Mkoa wa Lindi, Dk Enock Chilumba amesema maambukizi ya Ukimwi katika Mkoa wa Lindi yamepungua kutoka asilimia 3.9 mwaka 2008 hadi asilimia 0.3 mwaka 2017.

  9. Ma-DC Lindi wapewa siku 90 kutengeneza madawati 24,810

    Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Zainabu Taleck amewaagiza wakuu wa wilaya mkoani humo kushirikiana na viongozi wa vijiji kuvuna mbao kwa ajili kutengeneza madawati 24,810 ndani ya miezi mitatu ili kuondoa...

  10. Sefue ataka Lindi, Mtwara wajiandae na gesi

    Balozi Sefue ameutaka uongozi wa mikoa ya Lindi na Mtwara kuwaandaa vijana na waananchi kwa kuwapa elimu ya ufundi na ufugaji ili watumie fursa hiyo ya gesi kwa ajili yakupata ajira.

Previous

Page 2 of 11

Next