Arajiga, Komba mambo yameiva CHAN 2024 Marefa watatu wa Tanzania wameteuliwa kushiriki semina ya pili na ya mwisho ya maandalizi ya Fainali za Mataifa ya Afrika kwa Wachezaji wanaocheza Ligi za Ndani (CHAN), semina ambayo itafanyika...
PRIME Uchaguzi huru na wa haki, msingi wa demokrasia Katiba ya Zanzibar inaeleza kuwa uchaguzi uendeshwe ndani ya siku moja, lakini sheria imewekwa kuruhusu uchaguzi kufanyika kwa siku mbili. Baadhi ya wanasheria wanaona kuwa sheria yoyote...
Wazawa 10 wanaendelea kukimbiza Katika vitabu vya kumbukumbu za klabu kongwe hapa nchini, Simba na Yanga, kuna rekodi zinaonyesha timu hizo zimefika fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika mara moja kila upande.
PRIME Wapangaji waibua mpya kortini ghorofa lililoporomoka Kariakoo ni Zenabu Abdallah Ismail (mwakilishi wa marehemu Ismail Abdallah Salim), Asour Awadh Ashu¬r (mwakilishi wa marehemu Awadh Ashour Abeid), na Leondela Augustino Mdete. Kesi hiyo...
PRIME Alichokisema Jaji Warioba miaka 61 ya Muungano Aprili 26, kila mwaka Watanzania husherehekea Sikukuu ya Muungano, mwaka huu ukifikisha miaka 61. Muungano huo wa Tanganyika na Zanzibar ndio ulizaa nchi ya Tanzania, Aprili 26, 1964.
11 wanusurika kifo nyumba ikiungua moto Pemba Watu 11 wa familia moja wilayani Chakechake Mkoa wa Kusini Unguja wamenusurika kifo baada ya nyumba yao kuungua moto.
Simba yawasili Kwa Mkapa sakata la dabi, Mangungu ndani Viongozi wa Simba wamenza kuwasili hapa Uwanja wa Benjamin Mkapa tayari kwa zamu yao ya kufanya kikoa na Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Palamagamba Kabudi.
PRIME Mpenja kutoka utangazaji hadi uigizaji, ishu yake na Azam ipo hivi... Mtangazaji maarufu nchini Baraka Mpenja siku za hivi karibuni amekuwa gumzo katika mitandao ya kijamii na mtaani, baada ya kuibuka katika tamthilia ya Mwaipopo, akijulikana kama ‘Popo Boy’...
Vijana 200 Tanzania, Burundi kulipiwa mahari kupitia Al-Hikma Taasisi ya dini ya Kiislamu ya Al-Hikma Foundation imetangaza kuwalipia mahari vijana 200 kutoka nchi za Tanzania na Burundi ambao wapo tayari kuoa.
Marefa Tanzania watoswa Afcon 2025 Orodha ina marefa 17 wa kati, 18 wa pembeni na 10 ambao wataongoza teknolojia ya video ya usaidizi kwa marefa (VAR).