Search

343 results for Seif Jumanne :

  1. Malori yakwama Njombe kwa siku tano, ubovu wa barabara watajwa

    kuona Serikali inashindwa kutengeneza barabara hiyo kwa kiwango cha lami au changarawe, kwa kuwa ina mchango mkubwa katika kukuza uchumi wa halmashauri ya mji wa Makambako. Kutokana na changamoto...

  2. DC Njombe awaita vijana nchini kuangalia fursa

    “Ningependa kushauri vijana mnaokuja mtakaoweza kuandika proposal (mradi), mje maana kuna suala zima la kukutanishwa na wataalamu mbalimbali watakaowasaidia mawazo yenu,” amesema Katibu Tawala...

  3. Huu hapa ujumbe wa Pasaka wa viongozi wa dini, waamini

    "Yesu ameleta amani, ujumbe wa amani uendelezwe mahali pote ili nchi yetu na ulimwengu kwa ujumla pawe mahali pa amani, ujumbe wa Yesu alipofufuka ni amani kwa watu wote kwa kusema amani iwe nawe.

  4. Wanne mbaroni kwa wizi wa mota za mashine za kusaga

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Njombe linawashikilia watu wanne kwa tuhuma za kuhusika katika matukio ya wizi wa mota za mashine za kusaga nafaka zilizoibiwa kwenye maeneo tofauti hapa mkoani Njombe.

  5. Mume adaiwa kumuua mkewe kwa kumnyonga kisa kuchelewa kurudi nyumbani

    Mtendaji wa kijiji cha Mji Mwema, Maneno Mguta amesema marehemu na mume wake wote walikuwa watumiaji wa pombe ya ulanzi na siku ya tukio walikuwa wamelewa.

  6. Moto waua mtoto wa miezi 20

    Aliachwa ndani na mama yake aliyetoka nje kwenda kupokea mzigo wake wa mafuta .

  7. Bodaboda auawa, aporwa pikipiki

    Mwendesha pikipiki aliyetambuliwa kwa jina la Titus Pelamiho (38) ameuawa kwa kukatwa na kitu chenye ncha kali katika mji wa Makambako mkoani hapa.

  8. Watatu mbaroni wakituhumiwa kumtoa mimba mtoto

    Jeshi la Polisi mkoa wa Njombe linawashikilia watu watatu kwa tuhuma za kuhusika na utoaji wa mimba ya mtoto mwenye umri wa miaka 16, mkazi wa kitongoji cha Singida kilichopo Tandala wilayani...

  9. VIDEO: Zitto awaaga ACT-Wazalendo akitaja yanayomsikitisha

    Safari ya miaka tisa ya Zitto Kabwe kuwa Kiongozi wa Chama (KC) wa ACT-Wazalendo inatamatika kesho Jumatano, Machi 6, 2024 kwa wajumbe wa mkutano mkuu kumchagua mrithi wake.

  10. PRIME Rais Samia ajifunga kitanzi cha haki chaguzi zijazo

    Makamu mwenyekiti wa CCM Tanzania-Bara, Abdulrahman Kinana amesema Rais Samia Suluhu Hassan amewahakikishia wadau wa demokrasia uchaguzi wa Serikali za mitaa 2024 na Uchaguzi Mkuu 2025 unakuwa...

Previous

Page 2 of 35

Next