Search

111 results for Shaban Njia :

  1. UBISHI WA MZEE WA KALIUA: Wallace Karia sio shabiki wa Simba tena?

    Waliobaki wote ni ama atakuwa Simba au Yanga. Ndiyo utamaduni wa mpira wetu ulivyo. Misimu miwili kurudi nyuma Rais wa TFF, Wallace Karia ametukanwa sana na baadhi ya mashabiki na wapenzi wa...

  2. Wasajiliwa dakika ya 90, Djuma akwama

    Dirisha kubwa la usajili kwa Tanzania limefungwa rasmi juzi, huku nyota kadhaa wakisajiliwa saa chache kabla ya kufungwa kwake.

  3. Mabasi ya abiria Morogoro yatakiwa kuhamia stendi mpya

    Wamiliki wa mabasi na wasafirishaji abiria wanaokwenda wilaya mbalimbali za Mkoa wa Morogoro wametakiwa kutii agizo la Serikali la kuhamia Stendi ya Mabasi ya Mafiga iliyopo Manispaa ya Morogoro...

  4. Yanga mpya inahitaji hiki

    Yanga ndio timu Bora Tanzania kwa sasa. Kama unapenda sawa. Kama hupendi, sawa pia. Hawakuchukua ubingwa wa ligi yetu kwa bahati mbaya.

  5. PRIME EXCLUSIVE: Nabi afichua siri nzito Simba, Fei Toto

    Mashabiki wa Yanga bado hawaamini kama kocha Nasreddine Nabi ndo keshasepa ndani ya timu hiyo. Huenda hii inatokana na jinsi alivyowaheshimisha kwa miaka miwili na nusu ya utumishi wake Jangwani.

  6. Shahidi RPC aelezea alivyokamata gari la mjane wa Bilionea Msuya

    RPC huyo mwenye cheo cha Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP), alisimulia tukio wakati akitoa ushahidi wake katika kesi hiyo inayosikilizwa na Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam.

  7. Wapandishwa kizimbani kujibu mashtaka 11 likiwemo utakatishaji Sh658 milioni

    Watu wawili wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na mashtaka 11 likiwemo la utakatishaji wa fedha zaidi ya Sh658 milioni.

  8. Dk Slaa: Serikali isitumie nguvu vuguvugu la uraia pacha

    Sakata la uraia pacha limeendelea kugonga vichwa, baada ya Balozi Willibrod Slaa kuibuka na kuitaka Serikali kuwashirikisha watu wenye nasaba na Tanzania wanaoishi nje (diaspora) badala ya...

  9. Mwamnyeto ameshinda vita ya maisha

    Wapo watakaoshtuka wakisikia beki wa kati wa Yanga, Bakari Nondo Mwamnyeto ametoa asisti mbili za mabao akitokea eneo lake la ulinzi, hiki ndicho kinachowafanya wengi kujiuliza juu ya ubora wa...

  10. ‘Acheni kuwaadhibu watoto mkiwa na hasira’

    Machi 3 mwaka huu, Jeshi la Polisi mkoani Mwanza lilitoa taarifa ya kumshikilia George Shaban (55) Mkazi wa Mahina mkoani humo kwa tuhuma za kumuua mtoto wake Emmanuel Shaban (14)...

    New Content Item (1)
Previous

Page 2 of 12

Next