Maonyesho ya dhahabu yapaisha idadi ya watalii Kisiwa cha Rubondo
Idadi ya watalii wanaotembelea Hifadhi ya Taifa ya Kisiwa cha Rubondo, mkoani Geita, imeongezeka kutoka 1,800 mwaka 2022 hadi kufikia 5,000 mwaka huu, ikiwa ni sawa na ongezeko la asilimia 177.