Mlipuko wazua taharuki wilayani Songwe Mlipuko unaodhaniwa kusababishwa na baruti umetokea jana Jumanne Aprili 13, 2021 katika kata ya Saza Wilaya ya Songwe na kusababisha madhara kwenye baadhi ya nyumba.
Takukuru Songwe yamrejeshea mkopaji nyumba ya Sh165 milioni Songwe. Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) Mkoa wa Songwe imeokoa nyumba yenye thamani ya Sh165milioni iliyochukuliwa baada ya mmiliki kushindwa kurejesha mkopo wa Sh15milioni...
Silinde: Walimu wasikusanye michango ya chakula shuleni Serikali imesisitiza umuhimu wa kuwapatia chakula cha mchana wanafunzi ili kuongeza ufaulu na kuwataka walimu kutoshiriki ukusanyaji wa michango kwa ajili ya kununua chakula.
Aliyekiri kuiba mtoto jela miaka minne Severina Msongole (47) mkazi wa Isangawana wilayani Chunya Mkoa wa Mbeya amehukumiwa na mahakama ya hakimu mkazi Mkoa wa Songwe kifungo cha miaka minne jela baada ya kukiri kuiba mtoto wa miezi...
Sukari ya magendo yagawanywa kwa wahitaji mkoani Songwe Zaidi ya kilo 4,880 za sukari yenye thamani ya zaidi ya Sh13.2milioni zilizokuwa zinaingizwa nchini kwa magendo na kukamatwa, zimegawanywa kwenye taasisi mbalimbali Mkoani Songwe leo Januari 5.
Aliyepitishwa pekee na kamati ya siasa CCM akataliwa na madiwani Madiwani wateule kupitia CCM kwenye wilaya ya Songwe juzi walipiga kura nyingi za ‘Hapana’ kumpinga mgombea pekee wa nafasi ya makamu mwenyekiti wa halmashauri hiyo baada ya kamati ya siasa ya...
Aliyepitishwa kuwania umakamu mwenyekiti halmashauri ya Songwe akataliwa Madiwani wateule wa CCM Wilaya ya Songwe wamempigia kura ya hapana diwani wa Mkwajuni, Shaibati Kapingu aliyependekezwa kugombea nafasi ya makamu mwenyekiti wa halmashauri ya Songwe.
Simulizi za wanafunzi bora zenye furaha, majonzi Ni simulizi za furaha zinazoambatana na huzuni kutoka kwa wahitimu waliomo katika orodha ya wanafunzi 10 bora katika Mtihani wa Taifa wa kidato cha nne wa mwaka 2019.
VIDEO: Maaskofu wanena Amani, haki na maridhiano ni miongoni mwa salamu zilizotolewa na viongozi wa dini katika sikukuu ya Krismasi wakisihi waumini na jamii wazingatie hayo pasipo kujali vyeo au madaraka ili kudumisha...
Agizo la kuzuia michango shuleni lachanganya mabaraza ya madiwani . Walimu wanapaswa kujikita kufundisha.” Waziri alisema hayo alipotakiwa kutoa kauli kuhusu ombi la uongozi wa halmashauri Wilaya ya Ngara kuwataka wadau wa maendeleo kujitolea kuchangia maendeleo...