Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

1449 results for Janeth Joseph :

  1. KESI MAUAJI YA BILIONEA ERASTO MSUYA- Shahidi: Tuliwakamata washtakiwa kwa mganga

    Shahidi wa 10 Sajini Atway wa upande wa mashtaka katika kesi ya mauaji ya bilionea Erasto Msuya, jana aliieleza Mahakama namna walivyowakamata washtakiwa wawili kwa mganga wa jadi.

  2. Shahidi: Tuliwakamata washtakiwa kwa mganga

    Shahidi wa 10 Sajini Atway wa upande wa mashtaka katika kesi ya mauaji ya bilionea Erasto Msuya, jana aliieleza Mahakama namna walivyowakamata washtakiwa wawili kwa mganga wa jadi.

  3. Wanafunzi wachangia Sh10,000 za walimu

    Wilaya ya Same mkoani Kilimanjaro, inakabiliwa na uhaba wa walimu hali inayosababisha wanafunzi kuchangishwa Sh10,000 kwa mwezi kwa ajili ya masomo ya ziada.

  4. Wasafiri Moshi – Dar wakosa usafiri, warejea majumbani

    Moshi. Mamia ya wasafiri wameshindwa kusafiri leo Alhamisi Januari 3, 2019 kutoka Moshi mkoani Kilimanjaro kuelekea mikoa mbalimbali nchini Tanzania kutokana na uhaba wa mabasi.

  5. Wabunge waonyeshwa maeneo hatari ya ulaji

    Mkaguzi wa Nje Mwandamizi wa Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi (Naot), Deogratias Kirama amewaonyesha maeneo tata ambayo wabunge wanatakiwa kuyatilia mkazo wakati wa kuangilia matumizi mabaya ya Serikali...

  6. Rais Magufuli achangisha Wasabato

    Rais John Magufuli ameungana na waumini wa Kanisa la Waadventista Wasabato katika ibada ya sabato iliyofanyika Usharika wa Magomeni Mwembechai na kuchangisha zaidi ya Sh25.3 milioni kwa ajili ya...

  7. Polisi aua kwa risasi akijiami

    Mkazi wa Kijiji cha Ikungi, Herman Joseph (32) amefariki dunia papo hapo baada ya kupigwa risasi tumboni na askari polisi aliyekuwa akijihami.

  8. Vigogo kutoonekana sherehe za Uhuru kwazua mjadala

    Kumekuwa na mjadala wa mahudhurio katika maadhimisho ya sherehe za Uhuru ya mwaka huu ambayo huenda yamevunja rekodi kwa viongozi wengi wa kitaifa na kimataifa kutoshiriki.

  9. JPM ateua wakurugenzi halmashauri za majiji, wilaya

    Rais John Magufuli leo tarehe 07 Julai, 2016 amefanya uteuzi wa wakurugenzi wa halmashauri za majiji 5, Manispaa 21, Miji 22 na Wilaya (DC) 137 za Tanzania Bara.

  10. Mahakama yatupa pingamizi la Selasini, Mbatia

    Mahakama Kuu Kanda ya Moshi, jana ilitupa hoja za pingamizi zilizowekwa na Mbunge wa Rombo (Chadema), Joseph Selasini dhidi ya aliyekuwa mgombea ubunge wa jimbo hilo, Samora Kanje (CCM).

Previous

Page 144 of 145

Next